Esoma-KE Logo
Change Class  |  Change Subject

Matumizi ya 'Amba' Pamoja na Ngeli - Class 6 Kiswahili

Matumizi ya 'Amba' Pamoja na Ngeli

  Change Class CLASS 6
Select Subject  |  Kiswahili
  Change Topic

Guest Account

Hello Guest, Create an Account or Login to save your progress and get unlimited access to more notes, revision exercises and answers.

Feeling Ready?

Attempt Class 6 Kiswahili Questions
Guest Account
Hello guest, kindly login to access unlimited study notes and revision questions.

Create an account / login to help track your progress and unlock more features including additional notes, rapid quizzes, revision questions, virtual library, and the new Esoma Classroom

Matumizi ya 'Amba' Pamoja na Ngeli

'Amba' - ni kiambishi rejeshi cha kurejelea mtu au kitu. Hutumika katika kurejelea anayehusika au kinachohusika

Mifano

Ngeli Nomino Amba- (Umoja) Amba- (Wingi)
A-WA Mtoto Ambaye Ambao
KI-VI Kikombe Ambacho Ambavyo
LI-YA Jicho Ambalo Ambayo
U-I Mti Ambao Ambayo
I-ZI Nyumba Ambayo Ambazo
U-U Unga Ambao Ambao

Mifano Katika Sentensi

1. Wazazi ambao wanafika ndio wale.
2. Nyimbo ambazo waliimba zilipendeza.
3. Kuimba ambako kunapendeza ni huku.
4. Magari ambayo walinunua ni mapya.

Hello Guest, Please help review these notes.    Why review

Your review has been successfully submitted.
Tell us what you think about the notes.

Submit Comment