Create an account / login to help track your progress and unlock more features including additional notes, rapid quizzes, revision questions, virtual library, and the new Esoma Classroom
Matumizi ya Vivumishi vya Pekee -OTE na -O-OTE Pamoja na Ngeli
'-ote' - Huonyesha idadi bila ya kubakiza (jumla).
'-o-ote' - Huonyesha bila ya kubagua au kuchagua.
Mifano
Ngeli |
-ote |
-o-ote |
|
(-ote) Umoja |
(-ote) Wingi |
(-o-ote) Umoja |
(-o-ote) Wingi |
A-WA |
- |
wote |
yeyote |
wowote |
KI-VI |
chote |
vyote |
chochote |
vyovyote |
U-I |
wote |
yote |
wowote |
yoyote |
LI-YA |
lote |
yote |
lolote |
yoyote |
U-ZI |
wote |
zote |
wowote |
zozote |
I-ZI |
yote |
zote |
yoyote |
zozote |
U-U |
wote |
wote |
wowote |
wowote |
KU-KU |
kote |
kote |
kwokwote |
kwokwote |
PA-KU-MU |
kote |
kote |
kokote |
kokote |
Mifano Katika Sentensi
1. Mbuzi yeyote atauzwa.
2. Ng'ombe wowote watakamuliwa.
3. Nyumba zozote zitapakwa rangi.
4. Nyimbo yoyote inapendeza.
5. Jino lolote litang'olewa.
6. Kitabu chochote kitasomwa.
7. Ukurasa wowote utasomwa darasani.
8. Mahali kokote kutapandwa viazi.
Hello Guest, Please help review these notes. Why review
Your review has been successfully submitted.
Tell us what you think about the notes.
We are sorry for this interruption.
Please create a MEMBERSHIP Account to continue reading
Why am I seeing this?
DISMISS MESSAGE