Create an account / login to help track your progress and unlock more features including additional notes, rapid quizzes, revision questions, virtual library, and the new Esoma Classroom
Matumizi ya 'Amba' Pamoja na Ngeli
'Amba' - ni
kiambishi rejeshi cha kurejelea mtu au kitu. Hutumika katika kurejelea anayehusika au kinachohusika
Mifano
Ngeli |
Nomino |
Amba- (Umoja) |
Amba- (Wingi) |
A-WA |
Mtoto |
Ambaye |
Ambao |
KI-VI |
Kikombe |
Ambacho |
Ambavyo |
LI-YA |
Jicho |
Ambalo |
Ambayo |
U-I |
Mti |
Ambao |
Ambayo |
I-ZI |
Nyumba |
Ambayo |
Ambazo |
U-U |
Unga |
Ambao |
Ambao |
Mifano Katika Sentensi
1. Wazazi ambao wanafika ndio wale.
2. Nyimbo ambazo waliimba zilipendeza.
3. Kuimba ambako kunapendeza ni huku.
4. Magari ambayo walinunua ni mapya.
Hello Guest, Please help review these notes. Why review
Your review has been successfully submitted.
Tell us what you think about the notes.
We are sorry for this interruption.
Please create a MEMBERSHIP Account to continue reading
Why am I seeing this?
DISMISS MESSAGE