Create an account / login to help track your progress and unlock more features including additional notes, rapid quizzes, revision questions, virtual library, and the new Esoma Classroom
Kiulizi -PI Pamoja na Ngeli
'Kiulizi' - ni maneno ya kuuliza swali
'-Pi' - huchukua vambishi kulingana na ngeli, umoja na wingi.
Mifano
Ngeli |
Kiulizi- (Umoja) |
Kiulizi- (Wingi) |
A-WA |
Yupi? |
Wapi? au Wepi? |
KI-VI |
Kipi? |
Vipi? |
LI-YA |
Lipi? |
Yapi? |
U-I |
Upi? |
Ipi? |
I-ZI |
Ipi? |
Zipi? |
U-U |
Upi? |
Upi? |
YA-YA |
Yapi? |
Yapi? |
U-ZI |
Upi? |
Zipi? |
Mifano Katika Sentensi
1. Wazazi wapi wanahudhuria mkutano jana?
2. Nyimbo zipi ziliimbwa kanisani?
3. Jicho lipi linauma?
4. Magari yapi yameharibika?
5. Kutembea kupi kunatatiza?
Hello Guest, Please help review these notes. Why review
Your review has been successfully submitted.
Tell us what you think about the notes.
We are sorry for this interruption.
Please create a MEMBERSHIP Account to continue reading
Why am I seeing this?
DISMISS MESSAGE