Esoma-KE Logo
Change Class  |  Change Subject

Maamkizi ya Adabu na Heshima - Class 6 Kiswahili

Maamkizi ya Adabu na Heshima

  Change Class CLASS 6
Select Subject  |  Kiswahili
  Change Topic

Guest Account

Hello Guest, Create an Account or Login to save your progress and get unlimited access to more notes, revision exercises and answers.

Feeling Ready?

Attempt Class 6 Kiswahili Questions
Guest Account
These notes are available for all students and teachers.

Create an account / login to help track your progress and unlock more features including additional notes, rapid quizzes, revision questions, virtual library, and the new Esoma Classroom

Maamkizi ya Adabu na Heshima

Maamkizi - ni kujulia mwenzako hali (kumsabahi).
Salamu - Taarifa ya maamkizi inayotolewa na mtu, moja kwa moja au kupitia mtu mwingine.
- Maamkizi ni sawa na salamu

Mifano

Salamu Jibu
Salamu Za Asubuhi
Habari Za Asubuhi Njema / Nzuri
Chewa Chewa
Sabalkheri Aheri / Sabalkheri
Salamu Za Mchana
Habari Za Mchana Njema / Nzuri
Umeshindaje Vyema / Salama
Salamu Za Jioni
Masalkheri Aheri / Masalkheri
Habari Za Jioni Njema / Nzuri
Kuagana Usiku
Alamsiki Binuru
Lala Salama Wasalimini
Ndoto Njema Ya Mafanikio
Salamu Nyinginezo
Salaam Aleikum Aleikum Salaam
Buriani Buriani dawa
Shikamoo Marahaba
Pole Nishapoa
Tuonane Kesho Inshallah / Mungu akipenda

Hello Guest, Please help review these notes.    Why review

Your review has been successfully submitted.
Tell us what you think about the notes.

Submit Comment