Esoma-KE Logo
Change Class  |  Change Subject

Kiulizi -PI Pamoja na Ngeli - Class 6 Kiswahili

Kiulizi -PI Pamoja na Ngeli

  Change Class CLASS 6
Select Subject  |  Kiswahili
  Change Topic

Guest Account

Hello Guest, Create an Account or Login to save your progress and get unlimited access to more notes, revision exercises and answers.

Feeling Ready?

Attempt Class 6 Kiswahili Questions
Guest Account
Hello guest, kindly login to access unlimited study notes and revision questions.

Create an account / login to help track your progress and unlock more features including additional notes, rapid quizzes, revision questions, virtual library, and the new Esoma Classroom

Kiulizi -PI Pamoja na Ngeli

'Kiulizi' - ni maneno ya kuuliza swali
'-Pi' - huchukua vambishi kulingana na ngeli, umoja na wingi.

Mifano

Ngeli Kiulizi- (Umoja) Kiulizi- (Wingi)
A-WA Yupi? Wapi? au Wepi?
KI-VI Kipi? Vipi?
LI-YA Lipi? Yapi?
U-I Upi? Ipi?
I-ZI Ipi? Zipi?
U-U Upi? Upi?
YA-YA Yapi? Yapi?
U-ZI Upi? Zipi?

Mifano Katika Sentensi

1. Wazazi wapi wanahudhuria mkutano jana?
2. Nyimbo zipi ziliimbwa kanisani?
3. Jicho lipi linauma?
4. Magari yapi yameharibika?
5. Kutembea kupi kunatatiza?

Hello Guest, Please help review these notes.    Why review

Your review has been successfully submitted.
Tell us what you think about the notes.

Submit Comment